(Stl)
Dinya dinya
Hii track ntaidinya
Dinya dinya dinya
(Colo)
My days r always busy
For sheezy my nizy
Naskia kizunguzungu
Nika nmepiga tizi
Whistling ni kupiga binja
Ka we ni mzungu basi piga ninja
Nasema live hakuna kufichaficha
Unajua unataka na unaringaringa
Collo mbona umefanya ngoma kama hii
Umeshika jho wanati na maberbie
Kutoka kwenye floor ni saa ngapi
Umekojolea hii beat shika nappy
(Stl)
Nabonga shonde
54 ni ka kobole
Na nisipoidinya hii track napiga dole
Hii track ntaidinya
Dinya dinya dinya
(Colo)
Nimenyonji
Juu ya hii beat si kuna orgy
Na serikali si itanihoji
Mihadarati na nimekataa
Nimekataa nimekataa
(Stl)
Nina nyege jamaa
Ya kudinya hii tracky
Nani mwage jamaa
Nisipo dinya sitaki
Na usilete balaa
Unasema ni nani
Jina yangu bei kali
Unadinywa na nani
(Colo)
Manzee nimembao
Seremala kweli ametupa mbao
Una nuku shika mbao
Manzee tafadhali shika thao
(Stl)
Shika nao shika nao shika nao
Hii ego iko heavy si ni
Fastso virgin richard branso
Madem hunyamba fart so
Hii track ntaidinya
Dinya dinya dinya
Friday, 21 February 2014
LYRICS TO KUDINYANA SONG BY STL N' COLLO
Labels:
colo,
stl,
watkinsaji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment